Duka la Bidhaa za Urembo
Tunatafuta binti mchapa kazi na mkweli, mwenye shauku ya kujifunza na kutoa huduma bora kwa wateja, ili ajiunge na timu yetu katika duka la bidhaa za urembo.
Kumbuka: Fursa hii ni kwa wakazi wa Kilimahewa, Mwanza au Maeneo ya Karibu na Kilimahewa pekee.
Mshahara utazungumzwa na kukubaliana na mwajiri.
Kwa wale wanaokidhi vigezo tajwa, tafadhali wasiliana nasi kwa namba: 0787726300.